Waziri Gwajima na wadau wa maendeleo wanaochangia mfuko wa afya wa Pamoja wamejadili utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amekutana na wadau wa maendeleo wanaochangia mfuko wa afya wa Pamoja (Health Basket Fund) na kujadili utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo upande wa sekta ya afya na kuona namna ya kuendeleza ushirikiano uliopo baina ya wadau hao na Wizara. Waziri Gwajima